Fikra Angavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 301
- 106
Mtaa una watu zaidi ya 2500.... na wamekuja kuanza jana... ambapo kila siku wanawafanyia 100... tukumbuke wanafanya mchakato kwa siku sita.... lkn cha ajabu zaidi... hio jana watu mia hawajamalizwa.... tunaambiwa mashine ni mbovu kwaio zimeenda tafutwa nyingne.... hii Tanzania hii... tusipo fanya mabadiliko UCHAGUZI HUU.... TZ HAITABADILIKA MAISHA
Hao NIDA Ndiyo Akina Nani?
Hawana lolote, Wilaya yetu ilikuwa ya kwanza kuandikishwa lakini kwenye Kata yetu mpaka sasa ni watu 10 tu wamepata Vitambulisho.
Wewe ni mtanzania...!?
Unauliza Ajali Vigwaza?
Hahahaha... sasa hawa jamaa wa vitambulisho vya uraia inakuaje huwajui... au hutakagi tu kufatilia
GENTAMYCINE ktk ubora wake
Ktk JF wapo wataalam wa hoja chanya/hasi, pia na experts wa kuharibu thread za wengne wapo.
Hawana lolote, Wilaya yetu ilikuwa ya kwanza kuandikishwa lakini kwenye Kata yetu mpaka sasa ni watu 10 tu wamepata Vitambulisho.