Mkuu, wakati wa kujiandikisha hakukuwa na maelezo kwamba ukitaka kitambulisho chako itabidi uende ofisini kwao!Ukienda ofcn kwao wanasemaje?? Ukute baada ya kujaza hujafuatilia tena..
Mkoa gani mkuu? Arusha?Mkuu zoezi lilisitishwa kwa muda kutokana na ubadhirifu ila limeanza upya siku ya jana
Bali kulikuwa na maelezo kuwa watakufuata kwako ama??Mkuu, wakati wa kujiandikisha hakukuwa na maelezo kwamba ukitaka kitambulisho chako itabidi uende ofisini kwao!
Ipo hivyo kwa daresalaam nadhani itakuwa nchi nzimaMkoa gani mkuu? Arusha?
Mkuu utanisamehe sihitaji kujibishana na wewe, nahitaji muongozo toka NIDA. Kama unahusika leta maelekezoBali kulikuwa na maelezo kuwa watakufuata kwako ama??
Maelekezo fuatilia ofic za NIDA ukute maombi yako yamekwama mahali kutokana na shida mbalimbali na mpaka kujua hilo inabid waangalie kwenye system sasa usipoenda ndo hvyo hawawez jua kama yamekwama au lah.Mkuu utanisamehe sihitaji kujibishana na wewe, nahitaji muongozo toka NIDA. Kama unahusika leta maelekezo
Maelekezo fuatilia ofic za NIDA ukute maombi yako yamekwama mahali kutokana na shida mbalimbali na mpaka kujua hilo inabid waangalie kwenye system sasa usipoenda ndo hvyo hawawez jua kama yamekwama au lah.
Kuna scenarios mbalimbali zinaweza kusababisha maombi yako kukwama, kwa uchache
1.kutofautiana kwa majina ya muombaj kwenye fomu na viambatanisho bt mara nying hilo wamampigia mhusika simu
2.kukosekana saini ya muombaji kweny fomu
3.kukosekana kwa saini ya mtedaj wa mtaa au kata na muhuri wake.. Na nyinginezo usababisha maombi kukwama. Njia rahis ni kufanya followup ili waweze kuangalia kwenye mfumo.natumah nimekupa mwanga hapo.
Powa mkuu itakuwa poa... All the bestNimekupata mkuu, ninauhakika sijafanya makosa yoyote kati ya hayo hapo juu. Will go to their office soon.
Hapa umeamua kwa busara ndugu. Watembelee ofisini na ni vyema uwaambie jinsi unavyokwazwa na uzembe wao. Usisahau kutupa mrejesho.Nimekupata mkuu, ninauhakika sijafanya makosa yoyote kati ya hayo hapo juu. Will go to their office soon.
Hakika nitaleta mrejesho mkuu wanguHapa umeamua kwa busara ndugu. Watembelee ofisini na ni vyema uwaambie jinsi unavyokwazwa na uzembe wao. Usisahau kutupa mrejesho.
Wapi huko mkuu? Unajua kuna wakati mtu unaamua kujitoa ufahamu nakuwapa "MLUNGULA" ili shughuli zako sisikwame.Duh pole, kuna mchizi kajaza and in one month kapata ID yake
Duh! Hii itakuwa funga kazi (usumbufu hutaki) mkuuNext time ukienda waonyeshe na kadi yako ya ccm!utapata kitambulisho ndani ya masaa 24