Uchaguzi 2020 Nicolas J Clinton na Mussa Azan Zungu Ilala kumekucha Ubunge

Dr Shekilango

Senior Member
Dec 30, 2013
192
117
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT WAZALENDO akifuatia, Ikubukwe Zungu kawa mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka 15 mpaka sasa na hivyo watu wamemchoka sana hivyo Clinton anafaidika na hilo na pamoja kuwa bado ni kijana mdogo.

Sasa mtifuano utakuwa kati ya Clinton na Zungu hili jimbo mpaka sasa bado ni 50/50 kati ya Clinton na Zungu sijui sasa NCCR-MAGEUZI wamejipangaje katika ulinzi na utetezi wa kura zao! Ila Clinton ni moja ya wagombea wenye ushawishi katika Jimbo hilo.
FB_IMG_1600684696221.jpeg
FB_IMG_1603464638119.jpeg
 
Jimbo la Ilala ni kati ya Clinton wa NCCR-MAGEUZI na Zungu wa CCM. Wakati tunaendelea na dakika za lala salama za kampeni Jimbo la Ilala lina mtifuano mkali kati ya hawa watu wawili, huku wa ACT WAZALENDO akifuatia, Ikubukwe Zungu kawa mbunge wa Jimbo hilo kwa miaka 15 mpaka sasa na hivyo watu wamemchoka sana hivyo Clinton anafaidika na hilo na pamoja kuwa bado ni kijana mdogo.

Sasa mtifuano utakuwa kati ya Clinton na Zungu hili jimbo mpaka sasa bado ni 50/50 kati ya Clinton na Zungu sijui sasa NCCR-MAGEUZI wamejipangaje katika ulinzi na utetezi wa kura zao! Ila Clinton ni moja ya wagombea wenye ushawishi katika Jimbo hilo. View attachment 1609747View attachment 1609748
How I can vote for the same political party !!!! And one position
 
Hamna kitu hapo, ccm A&B.
Dogo hata kura zikitosha hapewi,atafungashiwa mlungula atasaini
 
Kopo na mfuniko,
Ni sawa na mama Tanzania kule Vunjo ,anasubili viti maalumu.
Mama Tanzania alikuwa anafukuziwa na Janjawid sijui alikiuka makubaliano!!
Anyway Lissu hawezi kuummpa viti maalum.
 
Wewe jamaa ni mkorofi sana. Dogo yuko vizuri sana pale sema ndo hivyo chama chake siyo sahihi
Mama Tanzania alikuwa anafukuziwa na Janjawid sijui alikiuka makubaliano!!
Anyway Lissu hawezi kuummpa viti maalum.
 
Ilala ipo daresalama na wana daresalama tunajuana
Pelekeni takataka hizo kawe au kibamba
Mtu mwenyewe hata saigoni haijui
 
Back
Top Bottom