Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,208
Nashauri Dodge Charger, Chevy Camaro, Nissan Maxima, au Toyota Camry.
ebu tushangae wote.... maana nlikuwa najiuliza mbona mi sijui🙂🙁🙁🙁🙁🙁 who are you??
una fedha kiasi gani?Wakuu mambo vepee!
Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.
Mnanishauri nichukue gari gani?
NB: Siuzi gari.
Natanguliza shukrani.
Million 23.una fedha kiasi gani?
Naomba niwe serengeti boy wako dear! Please!please!please!!Million 23.