GE2025 Nicholaus Ngassa autaka tena ubunge Igunga kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine.

Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
Screenshot 2025-06-29 145614.png
 
Mbunge wa Igunga anayemaliza muda wake, Nicholaus Ngassa amechukua fomu ya kuwania tena ubunge kwa mara nyingine.

Ngassa amechukua na kuirejesha fomu hiyo leo Jumapili, Juni 29, 2025 kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Igunga, Ebeneza Mainoya.
View attachment 3388412
Huyu mjinga angetumia vizuri tu mafao yake, trip hii hatumupi.bara bara ya kwenda Lugumbu ni handaki.
 
Back
Top Bottom