Nichague yupi hapa?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,512
Reaction score
4,377
Kuna mzazi mwenzangu tumezaa nae watoto wawili,juzi juzi hapa tulizinguana(nilimpiga) akabeba vitu vyake pamoja na watoto akarudi kwao,amekaa huko weeee me sikuhangaika nae kumtafuta,baadae nikaanzisha mahusiano na mwanamke mwingine hapa mtaani kwetu,sasa recently yule mzazi mwenzangu ananisumbua anataka kurudi nyumbani.huku napo tayari nina chombo kingine.
Wakuu,niko dilemma,nifanyaje?
 
Wewe ni mjinga!, unaandika kabisa ulimpiga!.. unajua kupigana na mwanamke ni mpaka awe amefikia hatua yakukutishia maisha, kama hakukushikia kisu ama kuonyesha ishara yoyote ya kukudhuru ulimpiga wa kazi gani..??

Fata familia yako acha kuacha watoto hovyo hivyo jinga wewe!
 
Hapo kwenye orodha ya wajinga niongeze mimi na baba yangu, hatuchekagi na wanawake sisi.
 
Kaa nao wote
 
Umemtukana kwa kuuma maneno ama umeamua kumchagulia tusi jepesi.
Huyo ni wa kumtukana kavu kavu bila maoni ya faida.
 
Hata huyo chombo mpya ipo siku utampiga na atarudi kwao...hlf utatafta tena chombo kingine

Yaani style yako ya maisha itakuwa ndo hiyo hiyo mpk siku unajifia.
 
Muulize Mwijaku, naona akili zenu zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…