Jamana hebu nisaidieni katika jambo hili, mbali ya tabia nzuri na kujiheshimu, uzuri wa wa mwanamke umeegemea kwenye nini zaidi kati ya umbo nzuri au sura? Sijajua nichague sura au umbo?