Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 25,061
- 90,850
Hapa Kama nakupata Sasa Yani nifanye Kama nampotezea sijui ramani hizo za maniaje nn nifate yangu tu Sio? Una maana hiyo au?
Kuwa karibu nae,mjali lakini usigusie gusie sana masuala ya kufanya mapenzi....lazima atajistukia


