geniusbaraka
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 795
- 155
ndo nini?
Duh! hiyo lugha! hivi ni Kiswahili!!?
Kasome kwanza kuandika kiswahili huo ndiyo ushauri wangu kwako
Hivo vitu hawezi kusoma huyo kilaza
Yeye ni mweka nyimbo kwenye simu tu
ndo nini?
Hiki kizazi cha siku hizi sijui kina matatizo gani?
anza kusoma C-language halafu tumia compiler Turbo C,halafu soma advanced C,hapo ukiwa vizuri cheki java au C++,lakn mi nilienda na java moja kwa moja wakati huohuo jifunze na visual basic tumia version6.ukiona uko vizuri piga na web programming...
mkuu punguza ukali wa maneno hicho ni kinywa kinachotumika kulia vyakula tena vizuri.