Niambie kituko kimoja ushawahi kutana nacho kwenye filamu za bongo, mimi nilikutana na hiki...

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
7,764
16,978
Kituko ambacho nimekutana nacho
juzi kati naangalia filamu ya Bongo ktk channel ya Sinema zetu kimenifanya nisiangalie Filamu hizo tenaaa!

Jamaa anakumbukia miaka
kumi iliyopita yuko bar anacheza wimbo wa Darassa maisha na
muziki, jamani kweli????

Nilizima na main switch kabisa nikaenda kulala...
 
Mimi kituko kimoja eti jini anavuka barabara anangalia kulia kushoto tena kulia halafu anavuka.

Kituko kingine ni majambazi eti wanavamia jumba kali huko mbezi beach pekupeku bila viatu. Baadaye nilipeleleza mwenye nyumba aliwakubalia kuekti Kwake lakini kwa masharti ya kutoingia na viatu wasimchafulie nyumba yake.
 
f1f57fe4d0c84f5ef4ce84590a8205d9.jpg


wanayeyusha sana
 
Kituko ambacho nimekutana nacho
juzi kati naangalia zinema zetu azam
tv jamaa ana kumbukia miaka
kumi iliyopita yuko bar anacheza wimbo wa darassa maisha na
muziki jamani? nilizima na main switch kabisa nikaenda kulala...
kuna muvi moja niliona ninja linapigwa teke gorofani,wakati wa kuanguka chini likawa linapepesa macho huku na huku lisije kuangukia kwenye mti,likajitupa kwenye tifutifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom