Unalipia 50% kabla then ukishapokea mzigo wako unamalizia 50% lengo la kufanya hivyo ni kuepuka usumbufu Wa wateja ambao hawapo serious,kama mtu anajua kalipia pesa hatachukua mda mwingi kufata mzigo wake,Asante
Mi nahitaji Laptop sonyvio slim nyeupe Ram atleast 4gb hard disk 500 iwe na slot ya kuweka sim card pia deck ya kuweka disk
Bajeti yangu ni 150usd Boss.