Ni zamu ya mwanamke sasa!

Ni zamu ya mwanamke sasa!

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
593
Akina mama mpo! Tunaendeleza mapinduzi ya kijinsia na kuondoa mfumo Dume, tulianzia bungeni kwa spika mwanamke sasa katibu mkuu wa CCM lazima awe mwanamke........Wanawake oyeeeeeeeeee!
 
bure! hapa sio cha mwanamke! 2nataka mtu atakayefanya kazi. kama makinda ndo mwakilishi wenu basi mmechemka!
 
Kwenye baraza la mawaziri la sasa na wakuu wa mikoa hakuna mwanamke wa-shoka please ondoa mama Simba please.
 
Anna Chilango Malecela ana afadhali kidogo. Kwenye urais 2015 nasikia wanamuandaa Asha Rose Migiro.
 
ukatibu wa ccm unahitaji mtu asieumiza kichwa wakati kuna jambo zito la chama na kitaifa wat matters is kuropoka tuu like makamba so hata shemeji wa pale sinza mori atafaa sana
 
CCM oyeeeee, mpeni Sopphia Simba anafaa sana kuwa katibu mkuu wenu atawaongoza vizuri!! Mtazamo tu!!!
 
Au Mongela, maana nyota yake bado inang'ara.....
 
Halima mdee angewasaidia sana mchukueni kwa mkopo
 
Back
Top Bottom