Ni zamu yao kusimamia haki!
huwa wanajinadi kuwa chama dola, kina miiko ya uongozi, wanajinadi ccm ni mfumo sasa tunataka kuona kweli nyinyi ni mfumo au mfumuko!
Je, mnaweza kuchukua kadi zenu za uanachama kwa hawa waheshimiwa wanaotaka waabudiwe kama Miungu watu?
huwa wanajinadi kuwa chama dola, kina miiko ya uongozi, wanajinadi ccm ni mfumo sasa tunataka kuona kweli nyinyi ni mfumo au mfumuko!
- Hadi leo CCM ipo kimya, mlikaa Dodoma hamkujadili haya, leo watu wanavunja sheria za nchi, maadili na utawala bora haupo tena, bado mpo kimya! Nadhani na nyinyi miaka 50 imeshawatosha kwa sasa!
- Hakuna uwezekano wa kufanya impeachment ndani ya chama? je hawawezi kufutwa uanachama hawa watu wawili?
Je, mnaweza kuchukua kadi zenu za uanachama kwa hawa waheshimiwa wanaotaka waabudiwe kama Miungu watu?