Huyu ni mcharo. Yule jamaa aliyekuwa mtamu. kafilisika, pikipiki kauza, kabaki na helment tu. hapo anauza genge. chezea maisha ya kula nyama kila siku hadi majirani wanachukia

Hapo ulipo cheka kwa mtoto kufukuzwa shule kwa kukosa ada, kisa baba kafilisika......
Ngoja nimeze mano, pengine haujui maumivu yake Dragoon
Dahhh.........!!