Ni zaidi ya picha

Huyu huenda kesha kutana na Yuda Iskariote saa hizi.
 
Hawa mbuzi nawafahamu...ni wa mzee Mbaga wa Mwananyamala B karibu na Mwanyamala B shule ya msingi
 
Nyie mnaona mbuzi usikute watu hao wanavuka sayansi kiafrika we acha tu
 
Hapo ni karibu na ofisi chafu chafu za chama flani hivi...

Duh! ngoja nimezee tu maana nilitaka kukutupia bonge ya .....! Nikawaza ban nikasita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…