Mi naona mtu mwenye nia ya dhati ya kututoa hapa tuliko na kutuwezesha tujisogeze kwenye neema zaidi anafaa.
Tuepuke na mtu mwenye majibu marahisi kwenye maswala magumu, kwa mfano kutatua tatizo la elimu ni kuondoa div 0 na kuweka div 5 au kushusha viwango vya ufaulu, mf. hadi point 24 ni div II, huo ni uwenda wazimu. Huyo afai hata kuwa kiongozi wa familia yake.
Mtu wa namna hiyo anapandikiza mabomu katika nchi yetu, ambayo si rahisi kuyatengua. Tuepukane ha huyo. afai yeye pamoja na washirika wake wote.