usiendesema
Member
- Feb 5, 2019
- 10
- 7
Habari wana jukwaa .
Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.
Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?
Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.
Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.
Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.
Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
Kusema ukweli mimi sijui
Msaidie atambue baby j
Kwani wewe hujawahi kupenda ?Mie sijui kweli baby A
Kwani wewe hujawahi kupenda ?
Kwanini usieleze na kuyafanya ninachoamini wewe napenda mjadala uwe hivyo...
Mwanaume ameagizwa kumpenda mkewe,mwanamke ameagizwa kumtii mumewe
Lakini Naamini mwanamke ndiye anapenda zaidi
Mwanaume Ni dhaifuKwanini unahisi mwanamke anapenda zaidi elezea/fafanua.
Ndo muelezee izo experience zakoNimewahi kupenda...tena sana
Ila ninayempenda ananiambia ananipenda kuliko navyompenda mimi,ndio mana nashindwa kutoa jibu kwa ulichouliza
Mama yako pekee ana mapenzi ya kweli basi..!Habari wana jukwaa .
Naomba niwashirikishe jambo moja kisha tulipatie jibu lenye uhakika.
Nina shauku ya kufahamu ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya mtu mke na mtu mume ?
Ni mara nyingi nimejiuliza swali hili lakini mpaka sasa bado sijalipatia jibu na nimeona ni vyema nikaliweka jamvini tujadiliane kwa pamoja.
Naamini hii ni nyumba ya watu wenye fikra pevu hivyo ninaimani leo naweza pata jibu la swali lililonitatiza kwa kipindi kirefu.
Naomba tujadili kwa upeo wa juu ikiwezekana tupate na ushahidi wa mjadala wetu na uzoefu tulionao bila ya kuwaonea watu wa upande mmoja.
Ninaimani mjadala utakua na nidhamu nautulivu pasipo lugh a za kuwakwaza wengine katika kile wanachoamini
Karibuni nadhani swali linaeleweka.
Tufanye umeolewa ungejibujeKusema ukweli mimi sijui
Tufanye umeolewa ungejibuje