Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,354
1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima
11. Mwenye PESA za kutosha
Labda ingekuwa hivi then wengi wangeangukia namba 11. Maana akiwa mwenye heshima halafu akakosa vingine vyoote hainogi pia, au akawa anayejiamini halafu awe hana heshima wala si muelewa haileti maana. But akiwa mwenye MAVUMBA ataonekana ana hizo zingine zote...
Wewe ni mtata sana ehehehehMwenye pesa hayupo au part two inakuja
Sawa...kwahiyo unataka nikujaribu lini?Shauri zako,subiri jamaa aseme akakupakue ndio ujue kama ni Male kweli ndio utashika adabu.
Wewe nae?Mburula wewe...Sawa...kwahiyo unataka nikujaribu lini?
Yap yapHapo kwenye nisitegemee mrejesho unamaanisha NITENDE WEMA NIENDE ZANGU SIO
Kwa wasio jua mwanamke ni mtu wa ajabu sana anaweza ku fall in love kunako sehemu asio tegemea. Yupi kati ya aina hii ya wanaume una penda sana kuaa nae au ungependa kukaa nae na ukawa happy.
1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima .
Sharti: chagua moja tu, au sifa moja tu.
Kumbuka sio wanaume wote wenye sifa hizo kuna wengine ni hopeless kabisa.
Mimi mwenyewe nimetafuta hiyo sijaiona,imebidi nichague 10 tu maana hakuna namna.