Ni yupi kati ya hawa?

Yote sawa lkn kikubwa n uaminifu tu unaweza kumpata mpole lkn c muaminifu
 
1. Mpole
2. Mkimya
3. Mcheshi
4. Mjanja
5. Mwenye msimamo.
6. Mkali / mkorofi
7. Msafi
8. Muelewa
9. Anae jiamini
10. Mwenye heshima
11. Mwenye PESA za kutosha

Labda ingekuwa hivi then wengi wangeangukia namba 11. Maana akiwa mwenye heshima halafu akakosa vingine vyoote hainogi pia, au akawa anayejiamini halafu awe hana heshima wala si muelewa haileti maana. But akiwa mwenye MAVUMBA ataonekana ana hizo zingine zote...
 
Naona namba 11 imeongezwa hapo mimi ndio naitaka.
 
Akiwa na zote ndo bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…