Njoo nikuoeNa mimi mwanaume japo hainuhusu lakini napenda awe na sifa #9
We ndo njoo nikija mimi ntakuwa mimi nakuoaNjoo nikuoe
Mimi mwenyewe nimetafuta hiyo sijaiona,imebidi nichague 10 tu maana hakuna namna.Yaani ungeweka hapo MWENYE HELA ndiyo ingekuwa namba pendwa!Wenzetu hawa ukiwa na mpunga ndiyo kwao utaitwa hendisamu boy hata kama unafanana na Kibwengo
angelita Njoo huku kwa mimi yapooMwenye Mahela pekee japo hujaweka hapo hizo nyingine viungo tu.
Kwani hiyo ina nini mpaka uitafute namna hiyooMimi mwenyewe nimetafuta hiyo sijaiona,imebidi nichague 10 tu maana hakuna namna.
Nifah hujambo Mama?Mimi mwenyewe nimetafuta hiyo sijaiona,imebidi nichague 10 tu maana hakuna namna.
Sijambo mkuu.Nifah hujambo Mama?