Habari yenu wanajukwa wa JF kuna swali nimekuwa nikijiuliza lakini sikuweza kupata majibu. Basi leo naomba niwashirikishe ili niweze kupata majibu pia na wengine ambao walikuwa hawajui kama mimi nao wapate faida. Swali langu ni nini kazi/majukumu ya clearance agents wa hapa Tanzania? natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamvi