The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,430
Hivi ni tume ndy inayoamua au mahakama?Mazingira hayo hayapo bayana Tanzania ila ikitokea wagombea urais wakafungana kura mfano 50%/50% inawezekana ikaundwa serikali ya mseto. Pia ikitokea Lissu akashinda 60% lakini akawa na wabunge wachache mno kama vile 90 tu kati ya wabunge 254 ni mazingira ya mseto.
Hahahaàaaaaaaa tulijua upigaji kura ukikaribia mtaanza ndoto za alinacha.Subirini 2025 mjaribu bahati wachochexi nyie.Nani awashikishe magaidi kwenye serikaliWakuu Salaam:
Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?
Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue!
Nimemaliza.
Chadema hii iliyoshimdwa kabla ya uchaguziMagufuli ni mental case.Sisi chadema hatuwezi kuunda serekali ya mseto na mtu kama yule.Serekali ya chadema haitakuwa ya mseto.
Ambae ameshashindwa tayari ni huyu mwenye hofu kuu ambae anazuia hadi watu kutumiana SMS kwenye simuChadema hii iliyoshimdwa kabla ya uchaguzi
Wewe kitulize bwana, subiri matokeo baada ya october 28Hahahaàaaaaaaa tulijua upigaji kura ukikaribia mtaanza ndoto za alinacha.Subirini 2025 mjaribu bahati wachochexi nyie.Nani awashikishe magaidi kwenye serikali
Ile iliyokua zanzibar ni ipi?Katiba hairuhusu kuwa na serikali ya mseto
Mpe vidonge vyakeTatizo Magufuli ni Muongo sana.
Tunakopeshwa fedha za Miradi yeye anatudanganya kuwa ni fedha zetu wenyewe, selikali ina hera.
Hatutaki Rais Muongo.
Kwanza mseto na nani ? Unakuwa na mseto na watu wenye akili.Siyo chama kina mgombea anakuambia ataweka rehani mali asili zenu ili apewe mkopo halafu ufikirie kuingia naye mseto.Kwa kifupi hakuna mseto hapa.Anayeshinda achukue nchi na anayeshindwa akae pembeni asubiri miatano tena.Wakuu Salaam:
Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?
Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue!
Nimemaliza.
Ni Zanzibar ila bara hapanaIle iliyokua zanzibar ni ipi?
Jikumbushe mseto wa kenya na zanzibar baada ya kivuti na Jecha kufanya yao.Wakuu Salaam:
Ni yapi mazingira ya Serikali ya Mseto?
Nimeuliza makusudi tu nataka niyajue!
Nimemaliza.