Ni yapi hasa Mapito ya Standard gauge Railway.

Mti mkubwa

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
27
Reaction score
21
Natambua kuwa muundo mbinu ni kitu cha msingi katika maendeleo ,swali langu ni hili kumekuwa na sintofahamu juu ya wapi Reli hiii inapitia kiasi cha kufanya watu wengi kuwa na wasiwasi wa kuendeleza maeneo yao sio tu yale ambayo yako karibu na reli ya sasa bali hata maeneo mengine ambayo yanasadikika reli kupita kwa maelezo ya watu wasio rasimi . Ombi langu naomba anae jua kuwa reli hii itapita wapi atujuze , na kama tayari kuna sketch ya eneo itakapo pita pia itakuwa vizuri, au mamlaka itujuze .Nawasilisha kutoka Morogoro.
 
Reli mpya inapita sambamba na reli ya zamani.. Panda treni to Dar utawaona wakiwa kazini.
 
wanakuja. mkuu mi nipo mbali na mambo hayo yanakofanyika
 
Kando kando ya reli ya zamani,kama uko mbali na hifadhi ya reli jua umepona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…