Ni Yanga pekee ndio nimeona inasafiri na wachezaji majeruhi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,727
6,542
Timu nyingi hata Simba sidhani kama wamesafari na wachezaji majeruhi kama kipa wao Manula. Ila jiulize Yanga, mtu kama Yaoyao wanasafiri naye ili iweje? Kufanya nini?

Kuna shida pale Yanga, mtu kama Yao yao hata kwenye mazoezi hafanyi ila alienda South Africa, Pacome na Aucho pia Wangebaki Dar es Salaam tu.

Yanga waache showoff za kijinga,
 
Mpumbavu wewe funga bakuli lako.

Aucho alikwenda na timu kwenye fainali Algeria akiwa na Kadi na hatocheza lakini kuwapa hamasa wenzake.
 
Akili zingine bana yaani unatupangia
 
😅😅😅😅 wakuomba nauli zao?, kila timu na utaratibu wake.
 


Anzisha na wewe team yako.
 
Najiuliza sana ni mtoa mada anamaanisha lakini sipati jibu, anyway Wacha waende nao sion shida hapo.
 
mzee umewalipia wew gharama mbon nongwa hivyo!!!
 
Mzee katika hili unaumizwa na kipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…