Ni ya kiume bana...

Ebu toa maelezo vizuri sinza sehemu gani nataka kwenda kuchonga O..
 
Ukisikia ujasiriamali ndo huo,unahitaji ubunifu wa hali ya juu ili mwisho wa siku mkono uende kinywani.
 
muda si mrefu utaikuta bongo, kama bado haijaingia, dunia kama kijiji ina matatizo sana
 
bomba sana.fungueni saloon km hiyo hapa bongo ili tufaidi.
 
Hapa kwetu wasichana niliowahi kuwaona wakihudumia saloon wamechoka na wachafu hata kukugusa hutamani. Maji machafu, vyombo havina hadhi. Basi ni kero tu.
 
Hapa bongo hakuna kama hii??, mwenye kujua ilipo ani-PM
<br />
<br />
 
Kubadilisha hela za Mwenzako ziwe zako inabidi ufanye kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…