Lady Ra
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 886
- 1,011
Wakuu,
Wakati Radio EFM wanazindua radio yao walipita sana mitaani kujitangaza wakiweka kama matamasha kwenye viwanja mbalimbali na wasanii wakatumbuiza.
Mojawapo ya wimbo uliotumika sana kwenye matamasha yao ni wimbo mmoja hivi wa kizungu wenye kibwagizo cha" Daladala bits yoo" au waweza kusoma kama "DOLLAR DOLLAR BEATS YOO".
Waliupiga kabla hawajaanza kupanda wasanii wa kibongo, na hata walipokua wakihama tukio moja kwenda lingine waliunganisha kwa Instrumental ya wimbo huu.
Waliousikia huu wimbo msaada please Wadau, siujui waitwaje wala kaimba nani na hata Google nimeshindwa kuupata!!