Ni waume/wanawake wangapi umewahi kutembea nao?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
12,789
Reaction score
8,755
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu,

Hebu tufunguke leo, na Mungu akusaidie hapo ulipo

Tangu umebalehe/kunja ungo, umewahi kuwa na mahusiano na watu wangapi,

+
na zile shortcut yaan mmekutana tu mkatamaniana mkapeana mzigo, na kila MTU akaendelea na mishe zake

Na vipi, umetosheka? Au bado wategemea kuongeza idadi?

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Kuwa mkweli hapa, utazidi kuwa kipenzi cha Mungu.

Ni wangapi umewahi kuwa kalia uchi mpaka hapo ulipo

Karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…