show rooms dah jamani leo nimejua napendwa
niko kazini na laptop kwa paj dada anakuja kama ananibusu nikajua anataka kunikodisha nini kama gari ..akanipa"""mmeambiwa msiweke laptop kwenye mapaja yanamaliza naniinooo """lo mungu akuweke weee dada unaeona zaidi ya moyoni