Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,982
- 45,883
Ni vyema site tukajua wapi tunapohitajika kujua mambo binafsi ya mtu na Yale ambayo tunaweza sema ni ya Taasisi!
Tunatakiwa kujua ni wakati gani kiongozi anapaswa kuwajibika kwa mambo yake binafsi, na ni wakati gani tunatakiwa Ku support kwakua anawakilisha Taasisi ambayo hata sisi ni sehemu yake!
Tukifanikiwa hilo, ni rahisi kujiepusha na kadhia zisizokua na Ulazima kwani sio kila jambo la mwanataasisi ni la Taasisi nzima!