Ni wapi nitapata dawa hii

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
882
Reaction score
1,433
Wanajamvi natafuta suppliment hii kwenye picha. Kama una information zozote inakopatikana tafadhali njoo PM tuzungumze. Nahitaji haraka iwezekanavyo

 
Mkuu
Maduka Makubwa Sana Umekosa Dawa Hiyo
Upo Mkoa Gani
 
Sijaenda kuuliza phamacy nimehisi haziwezi kupatikana manake ni herbal. Nipo Moro town
Hebu Jaribu Hapo Hospital Ya Mkoa Kuna Duka Binafsi La Dawa Kwa Pembeni
Maana Week Iliyopita Nilikuwa Hapo Kuna Dawa Nilikuwa Na Shida Nayo
Nikaingia Hospital Dukani Kwao Hawana
Nje Hapo Nikapata
 
Tafuta number ya watu wa WAPO RADIO walikua na huduma yao ya tiba mbadala. Sijajua kama wanaendelea ama laa
 
Hizi dawa wanazo?? Manake tiba mbadala ni pana sana, ninachotaka ni kupata msambazaji mwenye dawa hizi hapa
Tafuta number ya watu wa WAPO RADIO walikua na huduma yao ya tiba mbadala. Sijajua kama wanaendelea ama laa
 
Vidonge nenda kwa watu wa GNLD ambao kwa sasa wanajiita neolife kwenye product yao inaitwa feminine herbal hiyo vitex imewekwa, mimi nilipata powder yake kwa watu wanaouza vitu natural
 
Nilitumia powder yake, vidonge nenda kwa kwa watu wa GNLD ambao sasa ni neolife herbal wana product inaitwa feminine herbal imewekwa hiyo vitex ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…