nenda kariakoo utapata hizo pikipiki zote zinatoka china utapata tuNimedunduliza pesa ya kuweza kununua pikipiki kwa ajili ya biashara ya bodaboda ila nimefanya uchunguzi mdogo kwa watu wachache wanasema ninunue pikipiki za sanlg/sunlg ...
Je ni pikipiki gani nzuri naweza nunua kwa ajili ya bodaboda?? Je maduka yake yapo wapi kwa dar??
Je inatembea kilometers ngapi kwa lita moja ya mafuta?
Je ni pikipiki gani nzuri kati ya sanlg na sunlg maana majina hayo yamenichanganya imekuwa kama Samsung na simsung.....
Natumaini nipata majibu sahihi kutoka wadau wa secta hii ya biashara.
Katika huo utafiti mdogo niliofanya kuna jamaa alikuwa na fekon kaniambia usinunue kama hii nunua sanlg/sunlg ndo nzuri kwani inastahimili mengi, na pia kuna mdau aliniambia kariakoo wanalangua sana pikipiki nitafute maduka sijui ya wahindi...naomba niongezee ufahamu kdgo hapo mkuu....natanguliza shukrani kwa mchango wako mkuunenda kariakoo utapata hizo pikipiki zote zinatoka china utapata tu
cha kufanya wewe nenda kariakoo nakushauri nunua pikipiki aina fekon nzuri zaidi
Asante kwa ushauri mzuri na kwa kunifumbua macho kuhusu sunlgunataka kufanya bodaboda hapa mjini DSM au kijijini
kama dsm mjini tafuta BOXER
kama kijijini nunua SUNLG hiyo sanlg ni COPY
Kanunue shamba ufuge, achana na machuma yatakupa presha tu.... Ingawa ni off topic.
Kanunue shamba ufuge, achana na machuma yatakupa presha tu.... Ingawa ni off topic.