Ni wapi naweza pata kitabu cha Katiba ya JMT?

Ni wapi naweza pata kitabu cha Katiba ya JMT?

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,405
Reaction score
29,802
Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba mwenye kujua anifahamishe nikachukue nami nakala yangu.
Nilikuwa naangalia EATV, nimemuona mtangazaji wa HotMix akiwa na kakitabu kake ka katiba ya 1977 ya JMT.
Asante!
 
duka la vitabu vya serikali posta karibu na benjamin mkapa ppf tower mtaa wa jamhuri
 
Mkuu kama uko dar nenda duka LA vitabu vya serikali utapata
 
Pia waweza angalia ofisi ya Serikali ya mtaa na / au ofisi ya kata. Huenda vikawa vya bure vimebaki, wakati ule wa mchakato wa kutengeneza rasimu mpya ya katiba vilikuwepo viingi tu, mie nilijipatia kimoja cha ziada huko.
 
Back
Top Bottom