Ni wapi naweza kupata mahali kwa ajili ya mtoto kujifunza michezo?

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Mwanangu 6 yr old girl anapenda sana michezo. Shule zetu hizi za ku cremisha cremisha hawajali Sana michezo. Je, wapi nitaweza kuwa nampeleka mwanangu kucheza hasa hasa baada ya school hours maana yeye anatoka saa nane mchana.

Tupo Tabata lakini nitajieni popote ndani ya Dar.

Michezo iko mingi: Judo, karate, football, netball, riadha, swimming. Any

NB: Huwa nampeleka uwanja flani anakimbia kimbia tu sasa haitoshi.
 
Pia tafuta Hobby yake moja kama ni riadha ashike riadha kama ni Judo basi Judo, haiwezekani michezo yote İ maste
 
Mimi nyumbani nimewafundisha mwenyewe kikapu. Sahivi nawaruhusu wacheze na wakubwa. Anza kuwafundisha wewe mwenyewe huku ukiwajaza sumu shule tunasoma ila sio ajira.
 
Pia tafuta Hobby yake moja kama ni riadha ashike riadha kama ni Judo basi Judo, haiwezekani michezo yote İ maste
Asante Kwa ushauri mzuri

Namuingiza kwenye michezo yote ili nijue kipaji kiko wapi. Then a cocentrate huko.
 
Mm nyumbani nimewafundisha mwenyewe kikapu. Sahivi nawaruhusu wacheze na wakubwa. Anza kuwafundisha ww mwenyewe huku ukiwajaza sumu shule tunasoma ila sio ajira
Hii imetulia tatizo Baba mwenyewe Mimi michezo F.
 
Back
Top Bottom