Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,786
Hii ni bima kubwa ya familia haina tofauti na wanayopewa watumishi wa umma. Sheria zetu ni mbovu sana, wananchi wangeruhusiwa kulipa kidogo kidogo (private) 100,000 kwa mwaka sijui kama wangeshindwa kumudu na matokeo yake dawa zingekuwepo za kutosha kwenye hospitali za umma.1.5 million
hiyo bima ya nssf ni ya kipuuzi na hospital zao ni za kuselctWe umesema unataka nini hapo NHIF??? Kama unataka kununua hisa hiyo ndo bei yake, lakini Kama unataka bima kwa kweli hiyo sio bei yake hata kidogo. Ila kukusaidia nenda NSSF popote, wana huduma nzuri sana. Na watakupatia bima kwa bei nafuu.
Matibabu yake kipindi Fulani yalikuwa limited unatibiwa kwenye wilaya yako tuNenda bima za afya za serikali kuna NHIF hii ni maalum kwa watumisji wote wa Umma ambao wanachangia kwa mujibu wa sheria.
Lakiji hapo NHIF wana mfuko mwingine unaitwa CHF huu unahusu zaidi kila mtanzania ambao siyo watumishi wa Umma. Kiasi sikumbuki vuzuri but last tjme ilikuwa kati ya 10,000/= hadi 40,000/=
Kwa ujumla NSSF ni wapuuzi tu..... Ila kwa jinsi huyu bwana alivyokuja na mada yake. Ni vyema aka jaribu kuwasikiliza na hawa alafu achukue mwenyewe.... Mimi binafsi siwezi kutumia huduma yoyote kutoka NSSF.hiyo bima ya nssf ni ya kipuuzi na hospital zao ni za kuselct
Nadhani kwa sasa wigo wa matibabu umetanuliwa. Mujimu kufika ofisi za bima ya afya au kupiga customer care na kuuliziaMatibabu yake kipindi Fulani yalikuwa limited unatibiwa kwenye wilaya yako tu
Wacheki JubileeWakuu wa nchi natumaini mnaendelea vizuri,
Naomba kuuliza kama kuna mahali naweza kupata bima ya afya, nimeenda NHIF. Naona masharti yao kidogo ni magumu, unatakiwa kulipa million 1.5 kwa mwaka au ujiunge na Saccos uje na wanachama 10 kwa pamoja ndio unaweza kusajaliwa.
Naomba kama kuna mtu anayejua wapi nitapata huduma hii, please let's me know please.
HabariNenda PPF ukajiunge then watakuunganisha na bima ya NHIF. Mimi nimefanya hivyo mkuu
Unalipia tu 60000 kwa PPF ambayo inakuwa gharama ya miezi 3
Then wanakuunganisha na NHIF unalipia 78600 kwa mwaka. Fanya hivyo mkuu
Hii imekaa vizuri!Nenda PPF ukajiunge then watakuunganisha na bima ya NHIF. Mimi nimefanya hivyo mkuu
Unalipia tu 60000 kwa PPF ambayo inakuwa gharama ya miezi 3
Then wanakuunganisha na NHIF unalipia 78600 kwa mwaka. Fanya hivyo mkuu