Vinekuwa adimu sana lkn unaweza kukinunua maana. Ni GHALI sana .mara YAA mwisho kunaa jamaa KUNUNUA laki tano kimoja
Mmmh.., kwani hakuna pirated soft copies?Vinekuwa adimu sana lkn unaweza kukinunua maana. Ni GHALI sana .mara YAA mwisho kunaa jamaa KUNUNUA laki tano kimoja
Mmmh.., kwani hakuna pirated soft copies?
Weka link mkuu tukichukueKitabi kiko online bure kabisa
Duh!! Huyo Mjomba wake ni Mentor mzuri sana. Na pia Dangote anainekana alikua ambitious sana. Hongera zao.Dangote nae anawadanganya watu....
Yeye mjomba wake alikuwa bilionea kabla yake
na alimpa mtaji wa pesa nyingi tu
Dangote hakuwahi kuwa masikini
mjomba wake Datanta ni bilionea....na ndo aliemlea na kumpa mtaji
Lakin kitabu chake ni kizuri kwa mtu unayetaka kufanikiwaDangote nae anawadanganya watu....
Yeye mjomba wake alikuwa bilionea kabla yake
na alimpa mtaji wa pesa nyingi tu
Dangote hakuwahi kuwa masikini
mjomba wake Datanta ni bilionea....na ndo aliemlea na kumpa mtaji
sh 150,000 ni pmHabarin wanajamvi
Naomba kuuliza ni wapi au ni duka lipi ntaweza kukinunua hiki kitabu cha mtu mweusi tajiri duniani dangote
Kama unafahamu au unacho si vibaya tukajurishana ili niweze kupakuwa vilivyo pikwa na huyu bwana dangote
Ni mim mpenda kimya wa Iringa kwa sasa nipo jiji la makonda
Huyu jamaa anakshafa ya kutakatisha pesa na kukwepa kodi. Anatumia viongizi wa kisisa ilikufanikisha mipango yake. Kwahiyo unataka kitabu ili ujue trick anazotumia kuwa successful [emoji15] [emoji15] [emoji15]Habarin wanajamvi
Naomba kuuliza ni wapi au ni duka lipi ntaweza kukinunua hiki kitabu cha mtu mweusi tajiri duniani dangote
Kama unafahamu au unacho si vibaya tukajurishana ili niweze kupakuwa vilivyo pikwa na huyu bwana dangote
Ni mim mpenda kimya wa Iringa kwa sasa nipo jiji la makonda
House of wisdom posta utakipataHabarin wanajamvi