Ni wapi naweza jifunza Capoera (Brazilian martial arts) kwa Dar es salaam?

Kaka ile mitaa yetu ya Kino michezo hii inapatikana wapi
KUNA WANANGU FULANI NLIKUWAGA NAO KWA PELE WALIJARIBU KUULETAGA HUU MCHEZO HAPA BONGO MITAA YA STEREO AH ILA HAWAKUKAA SANA BONGO WALIONDOKAGA.....KI UKWELI KWA SASA HUKUNA...MAANA HUU MCHEZO INABIDI UPATE SEHEMU YEBYE ENEO KUBWA

OVA
 
Ustadhi ukikosa kabisa capoera fuata routine hii iko vizuri itakuacha ukiwa mwili umejaa na hapo hapo unaukata, ni protocol inayoitwa tabata workout. Nimeona ukisema umeruka sarakasi so naassume uko fiti kuweza nitakachokuambia.

Anza kwa kufanya squats 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (za kawaida) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (miguu iwe juu ya kitu kilichoinuka mfano stuli) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga romans push ups 10 pumzika sekunde 7 fanya hivi kwa seti 4.

Kama nyumbani kwako kuna sehemu unaweza kuning'inia kwa mikono miwili ukiitanua usawa wa mabegamfano getini jivute juu (pull ups) 10 pumzika sekunde 5 fanya hivi kwa seti 4.

Hapa utakua umemaliza zoezi.

N.B si lazima kuanza kila zoezi nililotaja unaweza kufanya mawili kati ya haya na kuongeza kadri muda utakavyoenda. Pia at the mean time anza jogging, hili zoezi haijalishi unakula nini ni utanyooka tu unachohitaji ni utayari tu.
Nimesahau kitu kupumzika kati ya seti moja ya mazoezi na nyingine ni dakika moja. Mfano ukimaliza seti ya squat unapumzika dakika moja kisha unaanza seti ya zoezi jingine.
 
Capoera hamna bongo master halafu unatakiwa uanze ukiwa na umri mdogo flexibility inahitajika sana kujifunza dance of death.
Mkuu mamestre wapo wachache sana hapa nchini ila kuna jamaa wanatuongoza but Ni mchezo mzuri sana kwa kweli!!
 
Ustadhi ukikosa kabisa capoera fuata routine hii iko vizuri itakuacha ukiwa mwili umejaa na hapo hapo unaukata, ni protocol inayoitwa tabata workout. Nimeona ukisema umeruka sarakasi so naassume uko fiti kuweza nitakachokuambia.

Anza kwa kufanya squats 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (za kawaida) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (miguu iwe juu ya kitu kilichoinuka mfano stuli) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga romans push ups 10 pumzika sekunde 7 fanya hivi kwa seti 4.

Kama nyumbani kwako kuna sehemu unaweza kuning'inia kwa mikono miwili ukiitanua usawa wa mabegamfano getini jivute juu (pull ups) 10 pumzika sekunde 5 fanya hivi kwa seti 4.

Hapa utakua umemaliza zoezi.

N.B si lazima kuanza kila zoezi nililotaja unaweza kufanya mawili kati ya haya na kuongeza kadri muda utakavyoenda. Pia at the mean time anza jogging, hili zoezi haijalishi unakula nini ni utanyooka tu unachohitaji ni utayari tu.
thanks Mkuu!! hata hivyo mi nilikuwa vizuri ktk muay Thai na jujitsu hivyo Capoera si tu kuounguza uzito Bali upo damuni....Ni mchezo unaonifanya kupata marafiki wengi wa nje ya nchi in short Capoera wazungu wanaithamini kuliko sisi wabongo
 
Ustadhi ukikosa kabisa capoera fuata routine hii iko vizuri itakuacha ukiwa mwili umejaa na hapo hapo unaukata, ni protocol inayoitwa tabata workout. Nimeona ukisema umeruka sarakasi so naassume uko fiti kuweza nitakachokuambia.

Anza kwa kufanya squats 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (za kawaida) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga push ups (miguu iwe juu ya kitu kilichoinuka mfano stuli) 20 pumzika sekunde 10 fanya hivi kwa seti 4.

Piga romans push ups 10 pumzika sekunde 7 fanya hivi kwa seti 4.

Kama nyumbani kwako kuna sehemu unaweza kuning'inia kwa mikono miwili ukiitanua usawa wa mabegamfano getini jivute juu (pull ups) 10 pumzika sekunde 5 fanya hivi kwa seti 4.

Hapa utakua umemaliza zoezi.

N.B si lazima kuanza kila zoezi nililotaja unaweza kufanya mawili kati ya haya na kuongeza kadri muda utakavyoenda. Pia at the mean time anza jogging, hili zoezi haijalishiunakula nini ni utanyooka tu unachohi
 
thanks Mkuu!! hata hivyo mi nilikuwa vizuri ktk muay Thai na jujitsu hivyo Capoera si tu kuounguza uzito Bali upo damuni....Ni mchezo unaonifanya kupata marafiki wengi wa nje ya nchi in short Capoera wazungu wanaithamini kuliko sisi wabongo
Ahaaa basi haina shida kiongozi, nilifikiri ilikua ni kwa lengo la uzito.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom