Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

Ni wapi Dar napoweza kupata vifaa vya gym?

ehee kumbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
267
Reaction score
155
Samahani wakuu ninahitaji kupata kifaa cha kufanyia mazoezi hasa ya kukimbia.kuna kifaa kinaitwa treadmill kitanifaa zaidi.

Wapi wanauza kwa Dar?
 
Je ntapata vyumba vya kubeba?for mazoezi?
Hususani dumb bells
 
kariakoo mtaa wa gerezani, ni imara, bei nafuu na bora zaidi ya hizo za mcity
 
Nenda Game,hivyo vya Gerezani utaanza kutembea upande mmoja kama gari lilokata spring,kuna wakati bure huwa aghali
 
Vile vifaa vya Mlimani City ubora wake uko chini sana. Ila kwa kutumia binafsi si mbaya ukanunua hivyo hivyo
 
Bro I hope sio tooo late. Sie ni wauzaji wakubwa wa vifaa vya gym na mazoezi. Na tuna patikana Uhuru St mkabala na Benjamin Mkapa School. Treadmiils zipo mpya na better quality than Mlimani. Sie tupo katika biashara hii for tha last 6 years na hatujawahi rudishiwa treadmill na customer. Angalia hapa www.alfaqeeinvestment.com au piga sim 0719669494. Karibu na yes Kariakoo maybe kuna better products na cheap watu bado hili hatujalitambua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom