Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!
Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
Ukitaka kujua hiyo album imetapakaa ,nenda kariakoo watu wanaiuza kama njugu.Juzi nilikuwa natoka shamba kibaha madereva waboda boda wanazipiga zile nyimbo huko youtube usiseme kwa muda wa mwezi 1+ ,nyimbo yake ya Africa beauty ina jumla ya viewers milion 11+ na bado ktk album yake kuna nyimbo inaitwa Iyena ukitaka kujua ukubwa wa nyimbo hii nenda kwenye vigodoro,lazima ipigwe.Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!
Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
Kiukweli nilikua mpenzi sana wa muziki wake ila kwasasa nimeshindwa mkuu!Kama haya ni ya kweli nitaamini kuna mafanikio ya kishirikina! I am watching and learning!
Itakua tatizo lipo kwangu mkuu!Ukitaka kujua hiyo album imetapakaa ,nenda kariakoo watu wanaiuza kama njugu.Juzi nilikuwa natoka shamba kibaha madereva waboda boda wanazipiga zile nyimbo huko youtube usiseme kwa muda wa mwezi 1+ ,nyimbo yake ya Africa beauty ina jumla ya viewers milion 11+ na bado ktk album yake kuna nyimbo inaitwa Iyena ukitaka kujua ukubwa wa nyimbo hii nenda kwenye vigodoro,lazima ipigwe.
Labda kwako ila jamaa yupo vizuri,ila tatizo washika dau wanataka kumshusha ila raia mtaani wanamsikiliza sana.Ujue nimekuja kugundua kuna wasani wanapata air time sana kwenye maredio na wale wanaopata airtime uswahilini,ila kwa wasanii wenye airtime kubwa hasa uswahilini ni Aslay,Diamond,Rayvany na Harmonize mpaka hivi sasa.Itakua tatizo lipo kwangu mkuu!
Kiukweli siipati ile radha niliyokua naipata zamani kwenye ngoma zake!
Wewe je? Acha kuangalia kibanzi cha mwenzako wakati wewe una boliti! Je, umefunga ndoa na Demiss ? Au upo naye kama Diamond na .....?Maandalizi ya ukumbi itakapofanyika hafla ya harusi ya Kiba... Huku itakuwa ni suit kali na shella hakuna majambia View attachment 760669View attachment 760671View attachment 760672
Huyo ni die harder wa huyo jamaaItakua tatizo lipo kwangu mkuu!
Kiukweli siipati ile radha niliyokua naipata zamani kwenye ngoma zake!