Ni wakati muafaka sasa wa serikali kutoa mfano kwa wasiofuata sheria

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,917
11,314
Nadhani imefika wakati sasa wote waliohusika kwa namna yoyote ile na uzamaji wa meli ya zanzibar kufungwa maisha tena kesi iwe fupi kuliko kawaida ili kutenda haki kwa wote walioathirika

.... we can not just sit there and be lenient to killers all the time
 
kwenye uandishi wa habari kuna kitu kitu kinaitwa seven day theory...hivi au anejua anaweza kuni correct...

siku saba baada ya leo hii habari itakuwa haina nguvu....hata kama wakipelekwa mahakamani

hakuna atakaefuatilia hiyo kesi inaendaje.....sio kwa nguvu kama ya sasa....

hivi kesi ya mintanga kuna anaejua imeisha vipi?
ya jeetu patel?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…