Earth is no longer safe for living thingsTHREATS TO THE WORLD PEACE
TRUE STORY
Kila aina na muundo wa serikali imeshindwa kutawala na kuleta amani,,, Ujamaa, udikteta, demokrasia,, zote zimefeli kuleta amani.. Teknolojia zote zinazidisha vifo badala ya kuokoa... Pesa, pesa, pesa ndo Catalyst ya yote...TRUE STORY
Nimesema yote hayo ndo huleta mabadiliko kwa aina binadamu... TujiandaeKawaida tu,kama ilivyokuwa majira ya mwaka katika maeneo,kwani vita ni jambo geni!?vp kuhusu vita ya kwanza!ya pili je?uvamizi wa marekani?tsunami?
Ikiwa na maana ya watu wapya sio mji tena .. watu wenye utu mpyaYerusalemu mpya inakuja...
Ni mji mpya, mji Mtakatifu watakaoishi huko ni watakatifuIkiwa na maana ya watu wapya sio mji tena .. watu wenye utu mpya
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
MONEY IS THE SOURCE OF ALL EVILKila aina na muundo wa serikali imeshindwa kutawala na kuleta amani,,, Ujamaa, udikteta, demokrasia,, zote zimefeli kuleta amani.. Teknolojia zote zinazidisha vifo badala ya kuokoa... Pesa, pesa, pesa ndo Catalyst ya yote...
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nini kimetokea?.... Wa mchongo hao , watorokeApostro kuna muujiza huku.
It was never safe, wewe subiri zamu yako ya kufa tu…. Dunia itaendelea!