Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Alimvyomsukuma huyo kaka nimecheka sanaUhalisia wa MAFISI upo kwenye hiyo Video.
Hivi msaga sumu lemutuzi yupo wapi?aaha ahha jamaa alikuwa anajiongeza,mtoto mkali kakubali kubambiwa
Lemutuz yuko bize na uzinduzi wa kitabu bila shaka umeiona list ya wageni waalikwa?
Sijaona wapi huko labda jina langu laweza kuwemoLemutuz yuko bize na uzinduzi wa kitabu bila shaka umeiona list ya wageni waalikwa?
aahaha hhaha kila mtu unayemfahamu atakuwepo siku hiyo