Ni vitabu vipi vya HKL?

Rabiel

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
197
Reaction score
40
Wana JF vitabu gani vinahusika na hii combination ya HKL?
 
Si umeuliza vitabu au sijaelewa swali lako.
 
Si umeuliza vitabu au sijaelewa swali lako.

ok thanx ila kama unajua waandishi wa hivyo vitabu ili nikifika book shop niulizie na iwe rahis kukipta
 
Wana jf vitabu gan vinahuska hapo

Tatizo la Elimu yetu ya sasa. Kimsingi kama hiyo ni combination ya A Level ya Tanzania, vitabu vyote vya kiada na ziada vimeainishwa kwenye Muhtasari au syllabus ya A level. Huku jamii forum utatajiwa vitabu vya maana vya zamani ambavyo hautavipata. Syllabus ni haki yako. Mwambie mwalimu wako au shule yako ikupe au nenda maktaba utaikuta.
 
Kwa History nunua Mastering history advanced level 1&2 vya Katto unaweza kuongezea na cha Zisti, kwa kiswahili Nyambari akuhusu na kwa Language nunua English advanced level paper one na two vimeandikwa na Nicholous Asheli pamoja na vile vya kadeghe
Nakutakia maandalizi mema ya kuitwa msomi.
 

asante sana kwa msaada wako,najua tulipishana tu kiswahil sorry man
 
Usisahau vitabu vya Michael kadeghe English language ni vizuri pia
 
Dah leo ndo nachukua majna ya waandishi niende bookshop koz necta wamekubali niende hkl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…