Matokeo ya elimu yetu hiyo ni kuzalisha machawa pro max watakaounga juhudi tuHivi kipaumbele chetu kama taifa ni nini
Elimu .....tunajenga mdarasa mengi bila madawati, vifaa vya kufundishia na uhaba kibao wa walimu
Afya.......zahanati na vituo vingi vya afya vijiji na kata lakini bado Kuna upungufu wa vifaa tiba na watalaamu wa afya
Kiimo.....tuna ardhi lakini hatuna pembejeo na maji ya kumwagilia mashamba
Maji.......kulingana na mahitaji, watu na mifugo hakuna uwiano. Hatujaweza kuwafikia nusu ya watanzania wote.
Umeme.....hakuna mikakati ya kisera na kitalaamu tupate vipi umeme wa uhakika. Kila kiongozi anayeingia anaingia na wimbo wake.
Usafiri.....tumewekeza katika kuboresha shirika la ndege. Tunanunua mandege kibao tena tunavunja ratiba zetu kuzipokea kwa mbwembwe. Ripoti Kila mwaka ni balaa nyingine...hasara plus hasara.
Sasa tukae chini tupange kama taifa tuendelee na mbwembwe au tufanye maendeleo.View attachment 2766065
Na lingine la mijusi ya geko inayotambaa ukutani nyau ChoiceVariableNi aibu kuwa na watoto kama Lucas mwashambwa , ChawaWaMama etc
Fala sanaNa lingine la mijusi ya geko inayotambaa ukutani nyau ChoiceVariable
SayngayFala sana
Taahira weweSayngay
Nukuu: "Naona umeandika na kujiandikia tu pasipo kuwa na Taarifa Rasmi juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Taifa letu na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Rais samia.
Suala la Elimu ni kile unachosema uhaba wa madawati na walimu. Kwanza ungekuwa na akili Timamu ungeanza kwa kuipongeza serikali yetu kwa kazi kubwa iliyoifanya ya kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini pamoja nakuwa na mkakati ku kuongeza vingine Elfu moja ili kumaliza kabisa tatizo la madawati mashuleni.ikumbukwe kuwa miaka michache nyuma tulikuwa na uhaba mkubwa sana wa vyumba vya madarasa suala ambalo lilipelekea wanafunzi wengi kukosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa wakati licha ya kufaulu lakini kwa sasa limebaki ni suala la historia tu.
Pia serikali yetu ya mama Samia imetoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana katika secta ya Elfu na imefanya hivyo kila mwaka wa bajeti na itaendelea kufanya hivyo kwa kadri uchumi wetu utakavyo ruhusu.Ni wakati wa Rais samia ambapo walimu Wengi sana wamepata ajira. Suala la madawati nalo pia limetatuliwa kwa madawati mengi sana kutengenezwa na kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini wakati wa kujifunza.
Suala la pembejeo. Hapa napo naona umekurupuka kama mlevi, kwa kuwa serikali ya Rais samia ndio serikali iliyofanya kazi kubwa sana katika kuleta mapinduzi ya kilimo kwa kutoa Ruzuku ya Billion mia moja hamsini msimu uliopita pia,hali iliyopelekea kushuka kwa bei ya mbolea sokoni na hivyo kuongeza uzalishaji,ni wakati wa Rais samia ambapo bei ya mazao imekuwa nzuri sana na hivyo kufanya wakulima kuuza mazao yao kwa bei nzuri sana mfano kilo moja imefikia hadi elfu moja. Ni wakati wa Rais samia tumeona masuala ya BBT katika kulima kilimo cha kisasa ili kuinua na kuwasaidia vijana na kuwafundisha mbinu bora za kilimo kuanzia hatua ya kuandaa mashamba mpaka hatua ya uhifadhi wa mazao kwa teknolojia ya hali ya juu. Lakini pia serikali imeongeza bajeti kutoka billion mia mbili kufika bilioni mia tisa sabini.
Kuhusu Umeme .Hapa napo naona umeropoka tu,kwakuwa mikakati ya serikali yakutatua tatizo hilo la umeme inakwenda kuweka historia na mapinduzi makubwa sana.kwa kuwa kukamilika kwa bwawa la mwalimu Nyerere litatupatia mega watti 2115 yaani zaidi ya mega watti zote tunazozalisha kwa sasa 1900 na hivyo kufanya Taifa kuwa na umeme wa kutosha na mwingine kuuza nje ya nchi. Lakini pia mkakati wa serikali ni kufanya tunakuwa na vyanzo mbalimbali vya umeme kama vile umeme wa gas na jua badala ya kutegemea maji pekee .hali hii pia itapelekea kushuka kwa bei ya umeme kwa kila unit atakayoipata Mtanzania.
Suala la afya .hapa napo naona umefanya uropokaji tu,kwakuwa ni serikali hii imefanya mapinduzi makubwa sana katika secta ya afya na ndio maana huduma nyingi sana za kitabibu ambazo wagonjwa walikuwa wakitibiwa na kupata nje ya nchi kwa sasa yanafanyika na kupatikana hapa hapa nchini. Ni wakati huu wa serikali ya Rais samia ambapo vituo vya afya vimejengwa kila kona ya nchi.miezi michache tu hapa vituo vya afya takribani 234 vilijengwa nchini.kwa sasa huduma zimesogezwa karibu kabisa na mwananchi na kuondoa aidha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya.
Ningejua unapoishi ningekuchapa vibao. Dkt Samia tu 2025
Mikakati iko vizuri kwenye makaratasi ,utimizaji ndio kipengere kugumu!Hivi kipaumbele chetu kama taifa ni nini
Elimu .....tunajenga mdarasa mengi bila madawati, vifaa vya kufundishia na uhaba kibao wa walimu
Afya.......zahanati na vituo vingi vya afya vijiji na kata lakini bado Kuna upungufu wa vifaa tiba na watalaamu wa afya
Kiimo.....tuna ardhi lakini hatuna pembejeo na maji ya kumwagilia mashamba
Maji.......kulingana na mahitaji, watu na mifugo hakuna uwiano. Hatujaweza kuwafikia nusu ya watanzania wote.
Umeme.....hakuna mikakati ya kisera na kitalaamu tupate vipi umeme wa uhakika. Kila kiongozi anayeingia anaingia na wimbo wake.
Usafiri.....tumewekeza katika kuboresha shirika la ndege. Tunanunua mandege kibao tena tunavunja ratiba zetu kuzipokea kwa mbwembwe. Ripoti Kila mwaka ni balaa nyingine...hasara plus hasara.
Sasa tukae chini tupange kama taifa tuendelee na mbwembwe au tufanye maendeleo.
View attachment 2766065
Machame unachemka mkuu,hilo la mijusi liko poa sana ni wewe tuu!Na lingine la mijusi ya geko inayotambaa ukutani nyau ChoiceVariable
actually mengi yamefanyika vizuri sana kisekta kama ulivyobainisha vizuri sana japo kwa uchache.Hivi kipaumbele chetu kama taifa ni nini
Elimu .....tunajenga mdarasa mengi bila madawati, vifaa vya kufundishia na uhaba kibao wa walimu
Afya.......zahanati na vituo vingi vya afya vijiji na kata lakini bado Kuna upungufu wa vifaa tiba na watalaamu wa afya
Kiimo.....tuna ardhi lakini hatuna pembejeo na maji ya kumwagilia mashamba
Maji.......kulingana na mahitaji, watu na mifugo hakuna uwiano. Hatujaweza kuwafikia nusu ya watanzania wote.
Umeme.....hakuna mikakati ya kisera na kitalaamu tupate vipi umeme wa uhakika. Kila kiongozi anayeingia anaingia na wimbo wake.
Usafiri.....tumewekeza katika kuboresha shirika la ndege. Tunanunua mandege kibao tena tunavunja ratiba zetu kuzipokea kwa mbwembwe. Ripoti Kila mwaka ni balaa nyingine...hasara plus hasara.
Sasa tukae chini tupange kama taifa tuendelee na mbwembwe au tufanye maendeleo.
View attachment 2766065
ukimpa hizi facts details unamchanganya zaidi mkuu, paragraph 3 hawezi maliza kusoma atakua ameshanasinzia mbaya sanaNaona umeandika na kujiandikia tu pasipo kuwa na Taarifa Rasmi juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Taifa letu na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Rais samia.
Suala la Elimu ni kile unachosema uhaba wa madawati na walimu. Kwanza ungekuwa na akili Timamu ungeanza kwa kuipongeza serikali yetu kwa kazi kubwa iliyoifanya ya kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini pamoja nakuwa na mkakati ku kuongeza vingine Elfu moja ili kumaliza kabisa tatizo la madawati mashuleni.ikumbukwe kuwa miaka michache nyuma tulikuwa na uhaba mkubwa sana wa vyumba vya madarasa suala ambalo lilipelekea wanafunzi wengi kukosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza kwa wakati licha ya kufaulu lakini kwa sasa limebaki ni suala la historia tu.
Pia serikali yetu ya mama Samia imetoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana katika secta ya Elfu na imefanya hivyo kila mwaka wa bajeti na itaendelea kufanya hivyo kwa kadri uchumi wetu utakavyo ruhusu.Ni wakati wa Rais samia ambapo walimu Wengi sana wamepata ajira. Suala la madawati nalo pia limetatuliwa kwa madawati mengi sana kutengenezwa na kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini wakati wa kujifunza.
Suala la pembejeo. Hapa napo naona umekurupuka kama mlevi, kwa kuwa serikali ya Rais samia ndio serikali iliyofanya kazi kubwa sana katika kuleta mapinduzi ya kilimo kwa kutoa Ruzuku ya Billion mia moja hamsini msimu uliopita pia,hali iliyopelekea kushuka kwa bei ya mbolea sokoni na hivyo kuongeza uzalishaji,ni wakati wa Rais samia ambapo bei ya mazao imekuwa nzuri sana na hivyo kufanya wakulima kuuza mazao yao kwa bei nzuri sana mfano kilo moja imefikia hadi elfu moja. Ni wakati wa Rais samia tumeona masuala ya BBT katika kulima kilimo cha kisasa ili kuinua na kuwasaidia vijana na kuwafundisha mbinu bora za kilimo kuanzia hatua ya kuandaa mashamba mpaka hatua ya uhifadhi wa mazao kwa teknolojia ya hali ya juu. Lakini pia serikali imeongeza bajeti kutoka billion mia mbili kufika bilioni mia tisa sabini.
Kuhusu Umeme .Hapa napo naona umeropoka tu,kwakuwa mikakati ya serikali yakutatua tatizo hilo la umeme inakwenda kuweka historia na mapinduzi makubwa sana.kwa kuwa kukamilika kwa bwawa la mwalimu Nyerere litatupatia mega watti 2115 yaani zaidi ya mega watti zote tunazozalisha kwa sasa 1900 na hivyo kufanya Taifa kuwa na umeme wa kutosha na mwingine kuuza nje ya nchi. Lakini pia mkakati wa serikali ni kufanya tunakuwa na vyanzo mbalimbali vya umeme kama vile umeme wa gas na jua badala ya kutegemea maji pekee .hali hii pia itapelekea kushuka kwa bei ya umeme kwa kila unit atakayoipata Mtanzania.
Suala la afya .hapa napo naona umefanya uropokaji tu,kwakuwa ni serikali hii imefanya mapinduzi makubwa sana katika secta ya afya na ndio maana huduma nyingi sana za kitabibu ambazo wagonjwa walikuwa wakitibiwa na kupata nje ya nchi kwa sasa yanafanyika na kupatikana hapa hapa nchini. Ni wakati huu wa serikali ya Rais samia ambapo vituo vya afya vimejengwa kila kona ya nchi.miezi michache tu hapa vituo vya afya takribani 234 vilijengwa nchini.kwa sasa huduma zimesogezwa karibu kabisa na mwananchi na kuondoa aidha ya kutembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Naona umeandika na kujiandikia tu pasipo kuwa na Taarifa Rasmi juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Taifa letu na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Rais samia.

Kioaumbeke chetu kama Taifa kwa sasa ni 10% kwenye kila mradi wa serikali. Hili linasimamiwa vyema na viongozi wetu kutoka juu hadi chini.Hivi kipaumbele chetu kama taifa ni nini
Elimu .....tunajenga mdarasa mengi bila madawati, vifaa vya kufundishia na uhaba kibao wa walimu
Afya.......zahanati na vituo vingi vya afya vijiji na kata lakini bado Kuna upungufu wa vifaa tiba na watalaamu wa afya
Kiimo.....tuna ardhi lakini hatuna pembejeo na maji ya kumwagilia mashamba
Maji.......kulingana na mahitaji, watu na mifugo hakuna uwiano. Hatujaweza kuwafikia nusu ya watanzania wote.
Umeme.....hakuna mikakati ya kisera na kitalaamu tupate vipi umeme wa uhakika. Kila kiongozi anayeingia anaingia na wimbo wake.
Usafiri.....tumewekeza katika kuboresha shirika la ndege. Tunanunua mandege kibao tena tunavunja ratiba zetu kuzipokea kwa mbwembwe. Ripoti Kila mwaka ni balaa nyingine...hasara plus hasara.
Sasa tukae chini tupange kama taifa tuendelee na mbwembwe au tufanye maendeleo.
View attachment 2766065
Hivi ni kweli unayaongea haya ukiwa na akili zako au unatafuta kiki ya UDC au ukatibu mkuu mnazopeana bila hata kusoma cv zenu. 2016 kwenye elimu mlikurupuka kuandikisha watoto kama utitiri lakini sidhani kama unajua impact yake. Tembelea mashule....watakuambia ni idadi gani kwenye zile kkk wanajiweza. Ni wazi majengo matupu bila vifaa vya kufundishia na kujifunzia haviwezi kuleta tija. Pia nakushauri uwapate hao walimu ambao wote wamekata tamaa huku wakizidiwa idadi ya watoto kiuwiano ni 1:45 lakini badala yake utakuta 1:120 hadi 150. Lakini kwa vile wewe chawa unaandika kama vile sisi ni wale watu mnawaowajaza kwenye mikutano yenu kuwaburidisha na wasanii kwa kuwadomba na maloriNaona umeandika na kujiandikia tu pasipo kuwa na Taarifa Rasmi juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Taifa letu na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika uongozi wa Rais samia.