NI UTASHI WANGU MWENYEWE

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,463
Reaction score
4,801
Wakati nakua nilililelewa na kuaminishwa kwamba nisome kwa bidii nipate elimu nipate kazi,nipe,ninunue kiwanja,nijenge nyumbe ninunue gari.Nioe nizae watoto niendelee na maisha

Sasa nikafanya hayo yote na nadni ya miaka michache kama 5 hivi nikapata hivyo vyote

Tatizo sasa maisha yameanza kuniboa

Nafikiri nifanye nini niogeze msisimko wa maisha.Ushauri wenu jamani
 
Maisha sio nyumba , sio gari na wala sio kuzaa watoto.
 
Fisadi/iba ili ukapate interest mpya za maisha from behind bars!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…