Ni ushauri tu kwa mwana jf

What happened luv

Unaikumbuka mada yangu ya kutendwa gwijimimi?Kifupi nilikutana na mtoto wa mama nikafika kweli na tulipanga mambo mengi yahusuyo ndoa.lakini hata dharau zilipotoka na kunikejeri kwa sana sijui wapi nilishalia kwa sasa nimenyamaza na ck zinakwenda!Ukijua ukweli wa jambo lolote lile raha sana!
 

Mmmh hapana luv
To be honest am curious to knw
U mean u ddnt know kama ni mtoto Wa mama before?
So all the decision anazifanya mama yake n not him?
 
Sielewi vizuri! Huenda kweli mume au mke akawa bomu la machozi. Nijuavyo si tu unahuzunishwa unalia bali hata ukifurahishwa unalia!
Tuiteje? Tamtam au?
 
Mmmh hapana luv
To be honest am curious to knw
U mean u ddnt know kama ni mtoto Wa mama before?
So all the decision anazifanya mama yake n not him?

Gwijimimi elewa hivyo nilishalia sasa silii tena!
 
Bora niendelee kulia tu,nampenda hvo halafu nimuache HAPANA.
 
mahaba yaniue....

mahaba yanipoteze kma ndege ya malyasi....

yaniuruge tuu kama bunge la katiba ......

chezea utamu ......yatak moyo kuacha eti
 
mahaba yaniue....

mahaba yanipoteze kma ndege ya malyasi....

yaniuruge tuu kama bunge la katiba ......

chezea utamu ......yatak moyo kuacha eti

Hehehehhe wanasema ya nn kufa na utamu wako kama mua?hahaha
 
Hehehehhe wanasema ya nn kufa na utamu wako kama mua?hahaha

neno kuacha kwangu ni ngumu kidogo itachukua mda.....hakuna aliyekamilika kila mtu ana madhaifu yake so utatembea na wangapi ili kila siku iwe tambarare ule raha tuuu??

kwenye mpenzi kuna vipindi vyote kama majira ya mwaka...masika,vuli,kiangazi
kumbuka mapenzi sio static ni dynamic yanaadilka mda wowote na inakupasa uwe mvumilivu mkuu
 

I understand mamito
I do understand vere vere weli
All in all is all about being happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…