Ni umri gani sahihi wa Kumuachisha mtoto kunyonya?

Nyangeta Mussa

Senior Member
Dec 8, 2014
199
127
Hbr ndugu zangu et ni umri up sahihi kumuachisha mtoto ziwa ikiwa kula kwake ni kwa shida yaan kila kitu kwake ni kibaya zaid ya titi na anaelekea kufunga mwaka
 
Kwa kawaida Breastfeeding ni mpaka miez sita bila kumchanganyia chochote(EBF) baada ya hapo mahitaji ya mtoto yanaongezeka hapo complentary feeding inaanzizhwa had miaka 2 au atakapokataa kunyonya mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom