uHapa kuna mtoto katimiza mwaka mmoja jana.cha ajabu hajaanza kutembea.Anatambaa tu na kujivuta kwa kushikilia vitu na ukuta.Watu wengine wanadai km hadi sasa hajatembea basi hatatembea kamwe.
Kwani umri wa kutembea mtoto ni upi exactly,na nini husababisha wengine kuchelewa? Kwa anayechelewa kuna tiba yoyote?Na je kuna risk ya huyu mtoto kutotembea kabisa ie. Kuwa mlemavu?
hahaha :focus:Mwaka na miezi 12...saa 1 na dakika 60
Kubemenda from who?ina mana wazazi hatutakiwi tufanye tendo landoa au?au nisiguswe matiti yangu ambayo huwa nayosha kila baada ya tendo.tunaaminiana hakuna anaetoka nje ya ndoa.mayb wadada wa kazi maana naskia wanahusikaga ktk hilo pia,na siwez prove kama anazini wkt ss tukiwa kazini,nisaidieni bs hata kwa ushauri,nilishamuonya dada from begin kuwa akianza mchezo mchaf mtt hatakuwa
Mpe mazoezi ya kutembea na mweke kwenye kundi la watoto wanaokimbiakimbia
mmmh happppo kwenye uzito duuuh wa kwangu miezi sita ana kg8.8 na sio bonge wala nini huyo msichana wa kazi usingemwambia akianza mchezo mchafu mtoto hatakua.. bali ungemwambia siku akifanya shughuli yake aoge kwanza ndio amshike mtoto tena umwambie kwa upole na taratibu.akuelewe...
dah! Pole sana ila kg 9 ni nyng mno na mwaka 1 na miez mitatu kasoro as wel ni ming pia! Hvyo kuna mawil either chakula anachokula mtoto hakina virutubisho vya kutosha na hasa madin ya calcium....au malezi ya mtoto kama ni mtoto wa kubebwa bebwa mda wote hi inachangia kwa kias kikubwa kupunguza kasi ya mtoto kutembea, jaribu kumuweka katk mazingra ya watoto waenzake wanao tembea!
kiukweli ni mtoto asiyebebwa bebwa,kwanza hakubali ukimbeba atakazana ashuke chini,mara nyingi anazunguka tu na kusimama na vtu na michezo yake,khs chakula nampa uji lishe niliosaga mwenyewe,calcium nyingi nadhan ipo kwenye samaki najitahidi anakula samaki japo cjawa na utaalamu wa kumpa hyo mifupa ya samaki,na pia mafuta ya samaki nampa.