Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,641
- 22,017
Habari za sikukuu,
Nimeona niwachane wale malimbukeni wa kutumia hela zote msimu huu wa sikukuu alafu ifikapo mwezi Januari wanaanza kulialia na kusema mwezi Januari ni mgumu.
Hii tabia ya kuishi maisha ya mazoea ya kutumia hela ovyo siku za sikukuu muachee..tumieni kwa hela kwa pozi.
Acheni kulialia..hamjui kujiwekea akiba mnatumia tu hela siku za sikukuu alafu mnalialia baadae.
Nimerusha jiwe gizani...nasubiri atakayelia uwiii..najua limempata...