Hahahahaha joto kali mpwa unafikiri huyo haogi? Anaoga sana asubuhi na jioni sema wengi wa vijana hawapendi kutumia manukato makali ya kuficha harufu yeye akisha oga basi ndo imetoka hiyo kikwapa kina tabia ya kuchacha na hili joto kikichacha akiinua mkono mtakimbiana utahisi kajamba.
Those guys dont love their job!
Na ukitaka kuiona kazi yako mbaya, basi anza kuidharau wewe mwenyewe!
Mimi kila siku huwa najisemea kuwa, hivi hawa makonda wangekuwa wanajitahidi wavae hadi tai siku mojamoja, ndhani hata trafiki wasingewashikashika, maana wangeonekana wastaarabu japo kwa minimum grade!
Nilikuwa najiuliza kila saiku kwa nini vijana wengi wakitoka tu chuo Mungu akiwajalia kazi wakikopa tu cha kwanza gari nilidhani ni ubishoo kumbe ni swala la msingi achana na adha ya usafiri kuwa wa shida pia mazingira ndani ya gari yanasikitisha.
Kwa mfano utoke posta mchana uwe unaelekea feri au mbagala au hata basi za mwenge usimame umkute mtu aliyeshiba vizuri/mnene mbele yako then anyooshe mikono kujishika kwenye bomba au kiti harufu kali ya kwapa itakayotoka utatamani ushuke utembee kwa miguu. Je huwa watu hawaogi au ni ugonjwa unaohitaji dawa? Kondacta akiwa anapita kukusanya nauli ndio balaaaa kabisa wengine utazani wanatembea na jalala akinyoosha mkono tu unatoa hela hapo hapo hata chenchi hutamani irudi.
Na kuna wengine wanaotoa harufu mwili mzima mpaka viatu japo amevivaa sijui akivua nini kitatokea. Inakera sana,
Hahaha! Lakini hakusema chuo gani. Kuna vile vya miezi mitatu unapata international Advanced Diploma!lakini si kila anaemaliza chuo ananunua gari!mwingine ananunua TUKUTUKU😀
Hahahahaha joto kali mpwa unafikiri huyo haogi? Anaoga sana asubuhi na jioni sema wengi wa vijana hawapendi kutumia manukato makali ya kuficha harufu yeye akisha oga basi ndo imetoka hiyo kikwapa kina tabia ya kuchacha na hili joto kikichacha akiinua mkono mtakimbiana utahisi kajamba.
Ukishaoga vizuri unahitaji kuficha harufu ipi tena kwa manukato makali?
Au una maana kutumia anti-perspirants/deodorants..... hizi ni za kukuweka ubaki fresh lakini siyo kufunika uvundo.
sasa mpwa unacheka halafu unasahau SENKSI!mpwa bwana!Ha ha ha aha ha, nimecheka hapa ofisini hadi watu wameniona kichaa, kwa atakayekuelewa atacheka sana ngoja XSPIN na Fidel80 warudi hapa.
sasa mpwa unacheka halafu unasahau SENKSI!mpwa bwana!
vipi unalizungumziaje tukutuku?hasa likiwa halina breki zote na linatoa sauti kubwa?
lakini si kila anaemaliza chuo ananunua gari!mwingine ananunua TUKUTUKU😀
Ha ha ha aha ha, nimecheka hapa ofisini hadi watu wameniona kichaa, kwa atakayekuelewa atacheka sana ngoja XSPIN na Fidel80 warudi hapa.
nilikuwa najiuliza kila saiku kwa nini vijana wengi wakitoka tu chuo mungu akiwajalia kazi wakikopa tu cha kwanza gari nilidhani ni ubishoo kumbe ni swala la msingi achana na adha ya usafiri kuwa wa shida pia mazingira ndani ya gari yanasikitisha.
Kwa mfano utoke posta mchana uwe unaelekea feri au mbagala au hata basi za mwenge usimame umkute mtu aliyeshiba vizuri/mnene mbele yako then anyooshe mikono kujishika kwenye bomba au kiti harufu kali ya kwapa itakayotoka utatamani ushuke utembee kwa miguu. Je huwa watu hawaogi au ni ugonjwa unaohitaji dawa? Kondacta akiwa anapita kukusanya nauli ndio balaaaa kabisa wengine utazani wanatembea na jalala akinyoosha mkono tu unatoa hela hapo hapo hata chenchi hutamani irudi.
Na kuna wengine wanaotoa harufu mwili mzima mpaka viatu japo amevivaa sijui akivua nini kitatokea. Inakera sana,
HAHAAAAA, TUKUTUKU LINASEVU SANA, wataalam wanasema linaadvanteji nyingi kuliko motokaa, kasoro kwenye mvua!, asee unakumbuka ule MSHIKAKI wa siku ile?, duh.
huyu mpwa anasifia magari anasahau tukutuku bana!wakati chawote tukipaki pale tunaonekana kama miungu-watuHalafu nyumba zenye huruma za kusimamia zikakosekana. Halafu nyuma uwe umepakia mziki wa Carmel! Hahaha!
hapa tukutuku linakuwa kama JEEP!linayeya vibayaSi utani; Biashara ya foleni unaitupilia mbali. hakuna kero mbaya kama foleni. We na kistaleti chako unatoka home kuwahi kikao sinza unamkuta mzee wa tukutuku kashatafuna kokoto kadhaa na taska ya nne. Hahahaha!