Ni ubunifu wa hali ya juu,nipeni thamani yake

JAMII-ASM

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,305
524
CbXWWAZW4AAaNE1.jpg

Ni kiti kilichotengenezwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Pia ni suluhisho kwa tatizo kubwa la kimazingira la utupaji wa chupa za maji.
Kutokana na ubunifu huu mwana JF uko tayari kulipa shilingi ngapi.. ili kiti hiki kiwe chako.
Hapo pembeni ni stuli.
 
mmmh... NYUMBA YENYE WATOTO WATUNDU,
UTAVIKUTA VIFUNIKO VYOTE VIKO CHINI VIMEFUNGULIWA....
kawauzie masaki
 
Niambie kwanza lifespan yake
Lifespan yake si chini ya miaka 10. Ni kiti imara... kinachostahimili vumbi,unyevu
(kwa wenzangu tuliopanga nyumba zinazovuja,hasa wakati huu wa el ninyo) na ni ''portable''..kinabebeka kirahisi kutokana na uepesi wake ..muafaka sana kwa wale tunaopanga na kuhama kila baada ya miezi mitatu kutokana na kero za wenye nyumba...
Sifa zake za ubora ni nyingi
 
Mkuu iko ni prototype hakipo kikazi Mimi nataka kiwe mkataba, tako chanika jinsi bakia.

Niambie kwanza lifespan yake

Mtoto akifungua vifuniko inakuwaje ?nahisi kama chupa zitabonyea!!

Tako chanika jinsi bakia

mmmh... NYUMBA YENYE WATOTO WATUNDU,
UTAVIKUTA VIFUNIKO VYOTE VIKO CHINI VIMEFUNGULIWA....
kawauzie masaki
Tajeni bei basi acheni longolongo
 
Lifespan yake si chini ya miaka 10. Ni kiti imara... kinachostahimili vumbi,unyevu
(kwa wenzangu tuliopanga nyumba zinazovuja,hasa wakati huu wa el nino) na ni ''portable''..kinabebeka kirahisi kutokana na uepesi wake ..muafaka sana kwa wale tunaopanga na kuhama kila baada ya miezi mitatu kutokana na kero za wenye nyumba...
Sifa zake za ubora ni nyingi
Linafaa kwa maonesho
 
Hapo mkikaa kelele za vyupa kubonyea ni hatari..hata maongezi ya wawili hamuwezi sikilizana
 
CbXWWAZW4AAaNE1.jpg

Ni kiti kilichotengenezwa kwa ubunifu na uhodari wa hali ya juu. Pia ni suluhisho kwa tatizo kubwa la kimazingira la utupaji wa chupa za maji.
Kutokana na ubunifu huu mwana JF uko tayari kulipa shilingi ngapi ili kiti hiki kiwe chako.
hiyo kwa tuliozoea kugegeda ata kwenye kochi ,na nyumba zetu za uswazi lazima kusumbua majirani .yani kwichiii kwichiiiiiiii
 
hiyo kwa tuliozoea kugegeda ata kwenye kochi ,na nyumba zetu za uswazi lazima kusumbua majirani .yani kwichiii kwichiiiiiiii
Hiyo kwichi kwichi wala hakina. Ni silencer hujapata kuona..au kusikia.
 
Back
Top Bottom